Rasmi picha na post ya mchezaji nyota wa Argentina @leomessi akiwa amenyanyua kombe la dunia imeingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia kwa kupata likes nyingi zaidi katika mtandao wa instagram, zaidi ya likes million 67 (na inaendelea).
Kupitia post hiyo messi Ametambulika na kitabu cha kuhifadhi matukio yalioyovunja rekodi duniani ,huku akiweka rekodi 5' katika michuano hii ya kombe la dunia nchin Qatar.