Mchezaji nyota wa Yanga Feisal Afuta Utambulisho wa Yanga Instagram


Mchezaji nyota wa Yanga Feisal Salum Abdallah #FeiToto ambae amekua akihusishwa kujiunga na klabu ya Azam fC ,amefuta utambulisho wa kuwa mchezaji wa Yanga sc kwenye bio yake katika mtandao wa instagram.

Awali mchezaji huyo alojitambulisha kama mchezaji wa klabu ya @yangasc na timu ya taifa ya Tanzania, kabla ya kuondosha utambulisho huo na kuacha utambulisho wa kuwa mchezaji wa timu ya taifa pekee.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad