Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus Aolewa na Fumbuka Nkwabi




Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus ameolewa na Fumbuka Nkwabi Mwanakilala katika ndoa iliyofungwa siku ya Alhamisi ya Desemba 29, 2022 ikiwa ni siku chache kabla ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2023.

Wawili hao wamefunga ndoa katika msikiti wa Maamur, Upanga Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad