Mtangazaji Mamy Baby wa Clouds FM Afunga Ndoa na Dr Hassan Abbas


CLOUDS Media Group tunatoa Pongezi kwa Mwanafamilia wa CMG @mamybabytz ambaye mchana wa leo amefunga Ndoa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt Hassan Abbas.

Ni Dua na Maombi yetu kwa Familia hii mpya ikawe Kheri yenye Furaha milele Amina 🙏🏾 •

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad