Mwijaku Ahongwa Milioni 20 Baada ya Kutoka Qatar


Mwijaku ameeleza Mashabiki zake kwamba aliporudi Tanzania kutoka Qatar, Mke wake amemzawadia 20M kwa ajili ya Holiday!


Watu wengi wamehisi Mwijaku amedanganya maana katika Dunia hii hakuna mwanamke wa kumpa mwanaume 20M tena kwa ajili ya Vacation, bora ingekuwa ugonjwa.


Hata hivyo wengi wameendelea kushituka baada kujua kwamba Mwijaku ananalewa na Mwanamke, ila Mwijaku ameonesha kutojali maneno ya watu.


Mtu mmoja ame-comment "Kumbe Mwijaku unalelewa", Mwijaku akajibu "Haa ndio unajua leo?",


Mwanaume ukipata fursa ya Mwanamke kukulea utakubali?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad