Ni Pigo Kubwa Sana Kwa Harmonize Kumuacha Angella..Niamini Mimi



Itachukua muda sana kwa label ya Kondegang kupata msanii mwenye kipaji kikali sana kama Anjella.

🍁Bado sijajua sababu kuu ya Harmonize kumuachia Anjella ila kama ni pesa anakosea sana. Anjella sio msanii wa kuachia kizembe hivyo, Alitakiwa awekeze kwakwe kwa chochote anacho kipata maana ni lazima kitarudi tu

🍁Anjella ni msanii, msanii mkali kuliko zuchu ni swala la muda na uwekezaji

🍁Naumia sana sio kwa kwa swala la ushabiki ila ni kile kitu kikubwa kiko ndani ya Anjella

🍁Nyota anayo, Sauti anayo, uwezo anao na kwa ujumla Nia ya kutoboa anayo na ndio maana anafanya kazi nzuri kila siku

🍁Huyu Anjella anaeachiwa kienyeji hivi akipata muwekezaji mzuri kuna siku Harmonize atakimbilia kuomba remix!!! Amini usiamini

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad