Ni Wakati Sahihi Sasa Kwa Kajala na Mtoto Wake Paula Kumuomba Msamaha na Kumu Unblock Rayvanny



➡Nadhani Wote Mnakumbuka Kuhusu ile Kesi ya Rayvanny Kutaka Kufungwa Kisa Paula na Harmonize Akaichochea Mitandaoni Mpaka Kufikia Hatua ya Kupiga Simu Kwa Baadhi ya Viongozi Akishinikiza Rayvanny Afungwe Kumbe na yeye Lilikuwa Linamnyemelea Paula.

➡Sasa Pamoja na Hayo Yote Aliyoyapitia Rayvanny Hakukata Tamaa Aliendelea Kuisaidia Familia ya Kajala ikiwa ni pamoja na kuendelea kumsomesha Paula (Kama Mnakumbuka Paula Alipelekwaga Chuo Nje ya Nchi).

➡Lakini Baada tu ya Kajala Kuanza Kudanganywa na Range za Uongo na Kweli na Kurudiana na Harmonize Yeye na Mtoto wake Wakaanza kuwa mbali na Rayvanny  Mwisho wa Siku Wakamblock Mitandaoni.

➡ Ninachowashauri Kabla Hawajafanya Hivyo Nadhani Nimuda Sahihi wa Kumuomba Radhi na Kumu Unblock Rayvanny.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad