PICHA: Nick Cannon Azidi Kuishangaza Dunia..Apata Mtoto wa 12


Muigizaji na mchekeshaji hodari kutoka nchini Marekani ambaye pia ni mtangazaji wa televisheni Nicholas Scott Cannon maarufu Nick Cannon na mrembo Alyssa Scott wamebarikiwa kupata mtoto wao wa pili pamoja ambae ni wa kike.

Mtoto huyo anakuwa wa 12 kwa Cannon katika jumla ya watoto alionao. Bibie Alyssa Scott amejifungua kichanga hicho Desemba hii, tarehe 14.


Itakumbukwa, mtoto wao wa kwanza wawili hao ambaye aliyekuwa na umri wa miezi mitano ‘Zen Cannon’ alifariki mwaka jana kutokana na aina fulani ya saratani ya ubongo iliyokuwa ikimsumbua.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad