Rapa Wakazi Awachana Diamond Platnumz na Harmonize Show zao za December


Rapa @wakazi Amelia na Umakini na uhakiki haswa kwa Mastaa wakubwa inapofika swala lao la kazi huku akitolea Mfano kwa Mastaa @diamondplatnumz @harmonize_tz na @officialzuchu ambao wanatarajiwa kufanya Shughuli zao Disemba 25 na 31.

#Wakazi Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare picha zikionesha Maneno kukosewa kama #Cheeres badala ya #cheers na #WereHouse badala ya #WareHouse kwenye Promo za Mastaa hao na kuandika...

"Umakini na Uhakiki bado ni changamoto sana kwetu, hasa kwa Wasanii wakubwa. Nimeona interview ya Harmonize wameandika Were House badala ya “Warehouse” na kwa Zuchu na Diamond wameandika CHEERES badala ya “CHEERS”!

Setting a bad precedent kwa Madogo who look up to them."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad