Rayvanny Afunguka Muziki Kuwa Kitu Cha Ajabu Sana

 


Staa muziki nchini, mwimbaji @rayvanny akiri muziki ni kitu cha ajabu sana kwani wimbo wake "Chuchumaa" alioutoa miaka mitatu iliyopita kwa sasa ndio una trend sehemu tofauti tofauti Duniani.


Akibainisha hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter, @rayvanny ama Chui ameahidi kufanya tolea jipya la wimbo huo. Je aimbe na nani⁉️ ameuliza Rayvanny...


Itakumbukwa, wimbo #Chuchumaa ulitoka rasmi Oktoba 5, mwaka 2019 @rayvanny akiwa chini ya uongozi wake wa awali, lebo ya 'WCB' na ulitayarishwa na producer @gachib

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad