Kwa mujibu wa habari nyeti nilizopata hivi sasa ni kwamba Fahyvanny na Rayvanny mambo ni Shwari kabisa, mapenzi yao yamerejea kwa kasi sana.
Kama kuna mtu alikuwa anajiuliza kwamba baada ya Rayvanny kuachana na Paula, hivi sasa anatoka na nani?, basi jibu nadhani umelipata. Rayvanny ameamua arudi kwa Mama wa mtoto wake.
Unazungumziaje uamuzi huu aliochukua Rayvanny?