Roma Ameweka Ulinzi MKALI Kumchunga Mkewe Asichepuke


Siku chache zilizopita niliandika kwamba Mke wa Roma anaishije bila Roma? Maana Roma Amepotea Muda mrefu sana na hawezi kurudi hivi sasa


Leo hii Mwijaku amefunguka kwamba Roma ana wambea wake ambao wanamfatilia mke wake na wanahakikisha hachepuki maana muda wote wanatuma taarifa kwa Roma.


Mwijaku anashauri kwamba ifike pahala, Roma atambue kwamba huyu ni mwanamke na ana haki zake, hivyo amuache Free aendelee na maisha yake, maana Roma haeleweki atarudi lini.


Binafsi naungana na Mwijaku, ikiwezekana Roma ampe talaka mke wake, Jamaa amepotea Muda Mrefu mno, halafu bado anaweka ulinzi ili kumfatilia Mke wake asichepuke!!!


Kwani Roma Huko ughaibuni kuna watu wanaomfatilia maisha yake? Je hajawahi kuchepuka?


Kama Roma Hataki kumpa TALAKA Mke wake basi amuache Free, hakuna Mwanadamu anaweza Ishi Bila Mwanaume kwa muda mrefu hivi. Mbaya zaidi anamsubiri mtu ambaye haeleweki atarudi lini.

By Hopetyga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad