Sakata la Fei Toto "“Feisal Ametoroka Kambini Hatui Alipo"


Sakata la mchezaji wa Yanga SC, Feisal Salum (Feitoto) lazidi kuchukua sura mpya tangu tetesi za kuhusishwa kuondoka Young Africans Sports na kujiunga na Azam FC.

“Feisal ametoroka kambini, Fei ametoroka na tumewaambia viongozi waripoti TFF mchezaji wetu ametoroka hatujui aliko, viongozi wa Yanga hawajui Fei aliko, wanachama wa Yanga hatujui Fei aliko, huko aliko anajua yeye mwenyewe na waliomficha.”- Shabani Omary Mratibu wa Matawi ya Yanga Mkoa wa Dar es Salaam.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad