Sehemu ya mahojiano ya Sallam SK kwenye kituo cha redio cha Mjini FM ambapo anafunguka kuhusu udhaifu uliopo kwenye Marketing katika kuupeleka mbali muziki wa Tanzania. Anafunguka pia kuhusu remix ya Champion wa Kontawa ambayo Harmonize ameshirikishwa
VIDEO: