International manager wa WCB Wasafi @sallam_sk hatimae amefunguka kuhusu tetesi za yeye kutajwa kwenda kujinga na record label ya Konde Gang.
Kupitia mahojiano yake na kituo cha mjini fM Sallam_sk amekanusha tetesi hizo na kueleza kuwa ni kumkosea adabu kwa taaarifa hizo huku akiweka wazi kua anaweza kufanya kazi na @harmonize_tz endapo atarudi WcB ama yeye kuanzisha record label yake na kumsaini kama msanii wake ila si yeye kwenda konde gang.