Shafih Dauda "Suala la Feisal ndio mwanzo wa ukombozi wa maslahi ya wazawa"
0Udaku SpecialDecember 25, 2022
Suala la Feisal ndio mwanzo wa ukombozi wa maslahi ya wazawa, watawapa nafasi watalaam sahihi wa sheria, watahitaji washauri wazuri na Mameneja bora, ndipo maslahi yatapatikana.
Feisal ameianzisha safari ya kuifikia nchi ya ahadi.