Nakushukuru kwa kitu kimoja tu.Unaniongelea vizuri sana kwa watu tofauti na MAEX wengine.Tangu tumeachana sijawahi kusikia ukinizungumzia vibaya.Huwa napata ujumbe wako kutoka kwa watu tofauti unavyoniongelea vizuri.Kupitia ww vijana wanatakiwa kujua kuwa kuachana si VITA na wala hutakiwi kumuongelea vibaya mwenzio ..COUSIN
@naytrueboytz I SALUTE U🙌🏻🙌🏻