Kwenye #XXLyaCloudsFM @shomadjozi amefunguka kwamba 2022 ni mwaka ambao umesafiri na hisia zake kimapenzi! Akieleza kwenye maisha yake yote alikuwa hajawahi ku-experience KUACHWA katika mahusiano lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu amelipitia hilo kutoka kwa mchizi ambaye alikuwa naye kwenye serious relationship.
@shomadjozi anakiri kulia sana mwaka huu kutokana na wakati mgumu aliopitia baada ya kuachwa, kuna time ilifikia hatua ya kutaka kuharibu kazi lakini alikaza na limepita hivyo! 🙌🏽
Vipi kwa upande wako!? 2022 imekufanyia nini!?