Unaambiwa Mataji Yote Makubwa ya Ureno Wameyapata Kupitia Kwa Christian Ronald


Kwenye historia ya Ureno mataji pekee makubwa wameyapata baada ya Cristiano Ronaldo kuanza kucheza kwenye timu ya taifa.

- Euro 2016
- UEFA Nations League

Nje na hapo hawana mataji mengine yoyote, he made his mark💪
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad