Wabaguliwa Kisa Kukosa Penati Fainali Kombe la Dunia


Nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa wenye asili ya Afrika Kingsley Coman na Aurelien Tchouaméni, wanashambuliwa kibaguzi na baadhi ya mashabiki wa taifa hilo mara baada ya kukosa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Argentina hapo jana.

Mashabiki hao wanaacha maoni(comments) za kibaguzi kama vile (🐒🦧 ) na wengine kuwaita "Nigas"kwenye kurasa za Instagram za mastaa hao kama ambavyo iliwahi kuwakuta nyota wa Uingereza Saka, Rashford na Sancho walivyokosa penati dhidi ya Italia kwenye fainali ya EURO.

Je ni muda sasa wa wachezaji wenye asili ya Afrika kuacha kucheza mataifa ya nje ya Afrika ?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad