Zuchu "Hakuna Msanii Alie Fanikiwa Huku Anabifu na Boss Alie Msaidia Kumtoa"



Zuchu ameweza kusema kuwa hakuna msanii alie fanikiwa huku anabifu na alie mfanya afanikiwe, Wote tunajua alie mtoa kimziki Harmonize ni Diamond na harmonize alisha enda Bongo star search kuonyesha kipaji chache ila mastar J akamwambia kuwa hawezi mziki bora arudi Mtwara akauze korosho hayo ndio yalikuwa maneno ya Mastar J. Ila toka Harmonize alipo kutana na Diamond aliweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, cha ajabu kwenye interview ya Zuchu kwenye the Switch ameweza kusema kuwa.


“ Duniani hakuna msanii alie fanikiwa huku na bifu na boss wake au mtu alie muonyesha njia ya mafanikio, Zuchu akatoa mfano wa wasanii ambao wanafanya vizuri huku wakiwa nje ya watu walio wafanya wafanikiwe ambao ni Liliwayn alivyo msaidia Nick minaj kimusic pia amemsaidia Tyga na Drake ila hujawahi sikia hao wote wana Bifu na Boss wao Liliwayni.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad