Tanasha Afunguka "Sijali Diamond Platnumz Kumuona Zuchu"


SUPASTAA wa Tanzania, Diamond Platnumz na msanii wake wa WCB, Zuchu wamekuwa wakitrendi tangu

mwaka jana wakidaiwa ni wapenzi kutokana na ishara mbalimbali wanazozionesha


Madai kwamba, wawili hao wanatoka kimapenzi yalichochewa na kitendo cha Diamond kumtoa Zuchu ‘auti’ usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar.


Hata alipoulizwa Bi Khadija; mama wa Zuchu, naye akasema hakuna ubaya wakioana kwani siyo ndugu wa tumbo moja.


Hata hivo, baada ya kusumbuliwa ma maoni mengi juu ya Diamond kutaka kumuoa Zuchu, Tanasha amevunja ukimya akisema; “Sijali…” Badala yake anasema kuwa, kwa upande wake yeye ameelekeza nguvu zake kwenye sanaa yake ya muziki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad