Web

Al Nassr FC ya Ronaldo Sasa ni Zaidi ya Timu za England Kwa Wafuasi Instagram

Top Post Ad


Baada ya mshambuliaji wa zamani wa Man United na Real Madrid,
@Cristiano kuhamia Al Nassr FC ya Saudi Arabia klabu hiyo imefurika wafuasi kutokana na umaarufu wa chapa ya CR7.

Klabu hiyo sasa ina wafuasi wengi wa Instagram kuvipita hata vilabu maarufu vya Ligi kuu England. h

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.