Mwili wa kijana Nelson Mollel ambaye alifariki dunia katika kata ya Moivo, Sanawari Wilayani Arumeru Mkoani Arusha kwa madai ya kuchapwa fimbo sabini za jamii ya Kimasai kwa kosa la kumtukana Mama yake mzazi amezikwa huku familia yake ikishangaa kitendo cha vijana walivyokuwa wanazika kwa kutumia mikono badala ya kutumia beleshi.
Richard Mollel ambaye ni =Mzee wa Ukoo wa familia hiyo vijana hao wametoa taswira mbaya nakufanya fedheha kwa kuwa familia haiwafahamu vijana hao.