Amber Lulu Anasikitisha Afunguka Haya "Papigwa Kama Mbwa Kisa Kumuhangaikia Mwanangu"


Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu kupitia ukurasa wake wa instagram ameeleza changamoto anazozipitia katika mahusiano yake ikiwa ni pamoja na kupigwa na kutishiwa kuuawa.


Amber ameandika

“Daa nimekuwa mtu wakuangaika na kuteseka pasipo sababu ya msingi.

“Mapenzi niliyo nayo kwa moto wangu na uchungu, uvumilivu Mungu pekee ndio anajua.

“Kuna muda najitoa kufanya chochote kwa jailli ya mwanangu na nilizaa kwa mapenzi ya Mungu ila nachofanyiwa kama sina haki.

“Kuna muda natamani kumkumbatia mwanangu nishinde nae nashindwa ‘coz’ nisipo hangaika mwanangu atakula nini?

“Nyumba nalipa nini? Leo napigwa kama mbwa kisa kumuhangaikia Mwanangu naumia sahivi mtu ananitishia kuniuaa Mungu”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad