Baada ya Haji Manara Kuweweseka Kufuatia Kuachwa, Mke Mkubwa Amtia Moyo


Baada ya Haji Manara kuendelea kuweweseka kufuatia kuachwa na mke mdogo, mke mkubwa anayepambwa aibuka kumuomba mume huyo apige moyo konde na kuwa na kifua kipana

"Kila Kitu ni Subrah Nakuombea Subrah Mume wangu…Nakuombea Utulivu na Hekma kipenzi changu…
Usijaribu kumjibu yoyote Kwanzia Sasa…Endelea kuwa na kifua kipana na hili litapita muda sio mrefu…Wewe ni Mwanamme Jasiri mno na ndio maana neno lako kwa kila anaekutukana unaniambia Tumuachie Mungu…Basi na hili Muachie Mungu Kuwa Kimya Endelea Na Majkum Yako Ya Kazi

Yana Muda basi…? Dunia hii hii ndio itaongea ukweli siku chache zijazo…Usijali abadan…Endelea Kujali Familia Yako Na mambo Yako tu…Acha Haya Yanayo Endelea Sasa Acha…Umesema Umejifunza Sasa Inatosha Fanya Vitendo Tu Mengine Muachie Allah..

Nakupenda mno na nipo Kwa ajili yako leo na kesho yake My Husband ❤️❤️❤️ Haji Manara" - ameandika Rubyna

Manara alishaoa mara 5 huku ndoa 4 tayari zikisambaratika

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad