Baba Levo "Naona Mtihani Ulio Mbele Yangu, Mama Ruby Anastahili Msamaha Amejifunza"


Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Baba Levo👇

"Nauona Mtihani Uliopo Mbele Yangu…!! Ila Naamini Ntavuka Salama …!!
Naheshimu Ujasiri Wa Mama Ruby Ana Stahili MSAMAHA Naamini Amejifunza Vya Kutosha Na Kwa Sasa Atakuwa Mke Mwema…!!
Ni Muda Wangu Wa Kumuomba Msamaha Mzungu ..! ! Najua Hatofurahishwa Na Hizi Taarifa" - Babalevo Baada Ya Aliyekuwa Mpenzi Wake @salma_mdoli (Mama Ruby) Kumuomba Msamaha Hadharani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad