Bilionea Mo aipeleka Simba Dubai




Bilionea wa Klabu ya @simbasctanzania @moodewji ameamua kuipeleka timu hiyo kambi Dubai.

Taarifa kutoka Simba SC zinasema kuwa kambi ya Dubai ni mwaliku rasmi kutoka kwa muwekezaji huyo mwenye mapenzi na Simba.

Kikosi kinatarajiwa kuondoka kesho tayari kukwea ‘Pipa’ kuelekea Dubai kwaajili ya Kambi ili kujiandaa na michezo ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika na michuano ya Ligi Kuu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad