"Kuoa mke zaidi ya mmoja yataka kifua jaman msioe watoto wa dogo kama hamviwezi msione fasheni kujiolelea ovyo ovyo to sababu hawafuati kula hao watoto wa watu baadae inakuwa hidhara yani!! inshot usioe kama huviwezi Mtume mwenyewe kasema ...😄😄"-@_hassanmwakinyojr
Nawakumbusha tu, Sept 2022 baada ya Mwakinyo kupigwa huko London, Manara alikuwa mtu wa kwanza kushutumu kwamba Mwakinyo ameuza pambano, mengi yalizungumzwa na Manara, ugomvi ukawa mkubwa lakini hakuna ambaye anajua wawili hawa walimaliza tofauti zao au hawakumaliza.
Ujumbe wa Mwakinyo Leo hii ni uthibitisho tosha kwamba yeye na Manara bado hawajamaliza tofauti zao.