Web

Chawa Sasa Watambulika Kimataifa...

Top Post Ad


Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ameruhusu mikutano ya hadhara huku akiwasihi kufanya siasa zilizopevuka na kuepuka siasa za matusi majukwaani.

Wakati akisisitiza hilo amesema yeye binafsi (Samia) anaweza kuhimili akitukanwa ila anaweza kutokea "Chawa" wake akashindwa kuhimili, akamvaa Chawa wa alietukana na balaa likaanzia hapo.

Kwa siku za karibuni neno chawa limeshika kasi, na wapo baadhi ya wapambe wa wasanii, wanasiasa, matajiri ambao wamejipambanua kama Chawa na kazi yao ni kusifia na kumtetea bosi wake. Kwa Tanzania chawa maarufu ni @mwijaku na @officialbabalevo

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.