Mtangazaji wa kipindi cha #lavidavi cha wasafi fm Loveness Love "divatheebawse" ameweka wazi aina ya mwanaume anayempenda yeye huku akizitaja sifa husika za mwanaume huyo.
Kupitia ukurasa wake wa instagram @divatheebawse ameweka insta story inayosomeka hivi 'Napenda Mwanaume Romantic Yule atakae ku spoil.Naamini Kwenye Mwanaume Kumnunulia Maua Mwanamke Kumpeleka Dinner na mkalala mishumaa inawaka Usiku kucha mmekumbatiana...akakupa hela na zawadi na kukubusu kukwambia Nakupenda????'
Ikumbukwe Diva ni mke wa @sheikh_abdulrazak_salum kuna uwezekano wa kuwa vitu hivyo alivyovitaja anavipata kwa mumewe.