Ameandika haya kupitia Twitter:
Uamuzi huu Hauna TIJA.. WANAOFANYA VYEMA lazima watambuliwe… na wanaofanya VIBAYA lazima wajifunze kutokana na wenzao waliofanya vyema. Na Changamoto zinazosababisha watoto wetu wafanye vibaya ( za KIMAZINGIRA)! zitafutiwe TIBA! Uamuzi huu HAUJENGI, unalenga kulea UZEMBE.