Je, ni Kweli Monalisa Amezaa na Dr Mwaka?


Umekuwa ni mchana wa moto baada ya kushika kasi kwa taarifa za muigizaji wa filamu “Monalisa" kuhusishwa kuzaa na Dr. Mwaka ambaye hivi sasa anakabiliwa na changamoto za migogoro kwenye ndoa yake

🍁Taarifa hizi zilikuwepo tangu awali lakini siku ya leo zimekuwa kubwa baada ya Juma Lokole kupost screenshot ya chats na mdau aliyetaka Juma Lokole kuliongelea hili swala kiundani

🍁Sasa Monalisa amezipa nguvu taarifa hizi baada ya kuandika caption Kwenye picha aliyo ipost kutafsiriwa kujibu kinacho endelea

🍁Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Monalisa ameandika

“Wadogo zangu mnaoupenda na kuutaka UMAARUFU kwa nguvu nisikilize, UMAARUFU una gharama zake kubwa mno. Uwe tayari kulipa hizo gharama. Unaweza kuzushiwa kitu cha uongo kabisa, na watu wakaamini ni kweli na hata ukijaribu kujitetea saa nyingine unaweza ukawa unaharibu zaidi. Mimi nimejifunza kunyamaza kimya. Hapa unaponiona najiona ni kama BAHARI, napokea takataka zote zinazotupwa kwangu……

Hivyo basi, kabla hujaulazimisha UMAARUFU ukufike, jiulize UPO TAYARI KULIPA GHARAMA ZA UMAARUFU?"

🍁Mimi @msumbufu_ ni muwasilishaji tu, DNA za macho mnazo ninyi. Huyu Mtoto ‘Kenzo' ana fanana kweli na Dr. Mwaka?

By @msumbufu_

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad