Juma Lokole Anunua Range Rover, Awa Mtangazaji Mwenye Gari Kali Wasafi..Hela Katoa Wapi??


Juma Lokole amezua Gumzo mtandaoni baada ya Kununua Range Rover.

Watu wengi wanajiuliza jamaa huyu ametoa wapi hela ya kununua gari hiyo? Wanadai kwamba kwa Mshahara wake wa Wasafi na Kule ICU, jumlisha Matangazo yake ya nguvu za kiume wala hawezi kununua Range.

Kwa upande wako unaamini Juma ametoa wapi hela? Ametunza Mshahara wake au?

Hivi sasa Juma lokole ndio atakuwa mfanyakazi pale Wasafi Mwenye Gari lenye thamani zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad