KUMEKUCHA.."Mume wa Shilole Rommy3d Aijibu Pole ya Uchebe Kwa Shilole"


Baada ya aliyekuwa mume wa #shilole , #uchebe kutoa pole kwa mke wake huyo wa zamani kwa mkasa uliompata wa kutakiwa kubomoa mgahawa wake uitwao #shishifood ili kupisha eneo hilo kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya, mume wa sasa wa Shilole, #rommy3d amemjibu Uchebe kuwa salamu zake wamezipokea kama familia ila kutamka kuwa anampenda Shilole ni maana ambayo hajaielewa.


“kama familia tumepokea kwa mikono miwili pole yako, lakini hiyo “nakupenda Shishi Wangu” ndio kumaanisha kwamba nakupenda wewe na huyo bwana ako au?? Rommy


Uchebe alitumia ukurasa wake wa Instagram kumpa pole shilole lakini pia akimpa moyo kuwa kuna kikubwa zaidi mbele yake maana ana moyo wa upambanaji na Mungu hampi mja mtihani hasio uweza.

KUMEKUCHA.."Mume wa Shilole Rommy3d Aijibu Pole ya Uchebe Kwa Shilole"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad