Laini Kubwa ya Umeme Kuzimwa Kumshusha Mwamba Aliyepanda Kwenye Nguzo za Umeme




Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amekutwa amepanda kwenye nguzo ya umeme wa msongo wa Kilovoti 132 njia Mwanza-Musoma Nguzo namba 500 iliyopo Mwibagi Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.

Mkuu wa kituo cha Polisi cha Kiabakari amefanikiwa kufika eneo la tukio ambapo amesema

"Timu yetu imefika na kumshawishi mhusika kushuka bila mafanikio. Jitihada za kumshusha bila kudhurika zinaendelea, na tunaweza kulazimika kuzima laini hiyo ambayo itapelekea Mkoa wote wa Mara kukosa umeme"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad