Lulu Michael "Sijapata Shida ya Mshono wa Uzazi"


Nyota wa filamu nchini, mwigizaji na mjasiriamali Elizabeth Michael maarufu Lulu amesema katika uzazi wake mara mbili hajapata shida ya mshono.

Akieleza kupitia ukurasa wake wa Snapchat, @elizabethmichaelofficial amesema, "Namshukuru Mungu uzazi wangu wote mara mbili sijapata shida ya mshono. Nadhani pia hii inatokana na miili yetu. Kila mtu ana namna anavyoweza kupona, sio wote tupo sawa. Mimi namshukuru Mungu sijapata changamoto yoyote."

Lulu ambaye ni mama wa watoto wawili (wa kwanza) wakiume, na (wa pili) wakike, ni mke wa Bw. Francis Ciza maarufu Majizo na walifunga ndoa Februari 16 mwaka 2021.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad