"Ni basi tu Uchawi upo, Bugati nna Mke mzuri nyie hadi najiogopa.. Halaf Kwa kuvaa ni balaa na nusu, anajua kisha anajua tena, anajua nini avae wapi depends na tukio.
Ni Mwanamke Classic,Yes yupo zaidi ya Standard, ni CLASS
Kubwa yupo decent na ana haiba ya kuonekana kwa chochote atakachovaa, ni kabeyonce flani hv amazing.
Mara nyingi naona Comments zenu zikisifia kuwa najua kuvaa vzuri, Mabibi na Mabwana sio uhodari wangu, ni huyu Beauty wangu mimi, yeye ndio hupanga nn nivae, kuna muda nambishia yeye ananiambia nisikilize mimi, Wallah nikitoka tu, najiona Iglessier flani hivi la kibongo bongo wakati ni Shomvi toka Kariakoo.
Mnajimu maarufu wa kizamani, Dr Living Solomon anasema Wanawake Classic na wenye mvuto ndio watakaokuwa wengi Peponi, wenzangu mie tuendelee kuomba Mungu.
U know Wat? Wanawake wa aina hii hawana kupepesa macho juu juu, ukikaa nae mahali akili na macho yake ni kwako, Utulivu ni 100%
Halaf linatokea jitu linabisha kuhusu uchawi hamna? Upo,Upo,Upo na kwa bongo ndio balaa.
Eeeh Mungu weee nitunzie huyu mke nife anizike na Eda anikalie, Yaa Rabbi.
Nb: Ikitokea nioe mke mwingine na Rubi yupo niiteni Jibwa milele.