Matokeo ya Form Four Mwaka 2022 Yametoka Rasmi, Yasome Hapa Nimekuwekea Shule Zote

 
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nneyaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani.


Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani.


Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Athumani Amasi.


Angalia hapa matokeo ya kidato cha nne 2022

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad