Matokeo ya Simba na Dodoma Jiji Haya Hapa




Simba wametoka vifua mbele ya Dodoma jiji kwa Goli moja bila , goli limefungwa na Jean Baleke

Mechi yake ya kwanza akiwa amevaa uzi wa Simba, mechi yake ya kwanza Ligi Kuu ya NBC, JEAN OTHOS BALEKE anapasia vyavu dhidi ya Dodoma Jiji na kuweka alama Msimbazi na Ligi Kuu!

HT| DODOMA JIJI FC 0-1 SIMBA
⚽️ Jean Baleke 45+1’

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad