Mchezaji wa Singida Big Stars aliyepata Ajali Uwanjani na Kufariki Azikwa Leo


Aliyekuwa Kapteni wa Timu ya Vijana (U17) ya Singida Big Stars, Mohammed Banda amezikwa siku ya leo January 20, 2023 huko Mkoani Singida.

Mchezaji huyo alifariki jana Januari 19, 2023 asubuhi wakati timu ya U17 ikifanya mazoezi katika uwanja wa Magereza mkoani Singida.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad