Kesi ya Jinai namba 11 ya mwaka 2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake 8 yenye mashtaka matatu ikiwemo shambulio la kudhuru mwili kuzuia maofisa wa polisi kutekeleza majukumu yaoKesi ya Jinai namba 11 ya mwaka 2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake 8 yenye mashtaka matatu ikiwemo shambulio la kudhuru mwili kuzuia maofisa wa polisi kutekeleza majukumu yao Kesi hiyo imeitwa kwa ajili ya kutolewa hukumu leo January 25 2023 ambapo Hakimu Mkazi Mfawidhi anayesikiliza kesi hiyo Monica Dyekubora amewafutia shtaka la kwanza ambalo ni shambulio la kudhuru mwili na washtakiwa wote tisa. Hata hivyo Mahakama baada ya kusiliza pande zote imewatia hatiani Washtakiwa watano kati ya tisa katika shtaka la pili na la tatu akiwemo mshtakiwa namba moja Diana Bundala maarufu Zumaridi ambaye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela ambapo atatumikia mwezi moja kutokana na kukaa mahabusu miezi 11 huku wenzake wanne wakihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje kwa masharti ya kua wanaripoti kituo cha polisi.
Kesi hiyo imeitwa kwa ajili ya kutolewa hukumu leo January 25 2023 ambapo Hakimu Mkazi Mfawidhi anayesikiliza kesi hiyo Monica Dyekubora amewafutia shtaka la kwanza ambalo ni shambulio la kudhuru mwili na washtakiwa wote tisa.
Hata hivyo Mahakama baada ya kusiliza pande zote imewatia hatiani Washtakiwa watano kati ya tisa katika shtaka la pili na la tatu akiwemo mshtakiwa namba moja Diana Bundala maarufu Zumaridi ambaye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela ambapo atatumikia mwezi moja kutokana na kukaa mahabusu miezi 11 huku wenzake wanne wakihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja nje kwa masharti ya kua wanaripoti kituo cha polisi.