Msanii wa Bongo Fleva Peter Msechu Mwenye Kilo 144 Awekewa Puto Tumboni


Msanii wa Bongo Fleva Peter Msechu ni miongoni mwa watu waliopatiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni (intragastric balloon) katika hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohame Janabi amesema, matibabu hayo ya kuwekewa puto tumboni yanasaidia kupunguza uzito kwa watu wenye uzito wa zaidi ya kilo 90 ambapo Msechu ana kilo 144.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad