Msimamo wa Fei Toto : Sina Tena Mahaba na Yanga Siwezi Kurudi Kuichezea


Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na Yanga na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Fei alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hawezi tena kurudi kuichezea Yanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad