Mwalimu Aliyerekodiwa akichapa Watoto Visiginoni Asimamishwa Kazi



Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya Mwalimu aliyeonekana katika picha ya video iliyosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii akimuadhibu mwanafunzi kinyume na taratibu.

Profesa Mkenda amesema wameishafuatilia jambo hilo na tayari mwalimu huyo amesimamishwa kazi huku uchunguzi ukiendelea.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad