Mwanamiziki Otile Brown wa Kenya Afunguka Kuibiwa Airport Dar



Mwanamuziki kutokea +254 #Kenya #OtoleBrown ametoa malalamiko na kudai kuwa ameibiwa #Laptop mbili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.


#Otile anadai licha wa kutoa taarifa kwa wasimamizi uwanjani hapo bado hawakuonesha kumpa ushirikiano wa kupata mali zake hivyo taarifa zote tayari zipo katika kituo cha polisi kwaajili ya taratibu nyigine.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad