Mwanamke Atapeli $ Bil 4, Atafutwa na FBI




Kutana na mwanamke ajulikanae kama Ruja Ignatova (42) akiwa ni raia wa Ujerumani na ni mzaliwa wa Bulgaria.

Baba yake alikuwa mhandisi huku mama yake alikuwa mwalimu. Wakati anasoma aliwahi kuwaambia wazazi wake kuwa ni ndoto yake siku moja ni Dunia imfahamu kama milionea pale atakapofikisha umri wa miaka 30 ambapo baada ya kumaliza masomo yake ya sheria barani ulaya katika Chuo Kikuu cha Oxford, Ignatova alipata kazi kama mshauri wa kampuni ya kimataifa ya ushauri na usimamizi inayofahamika kama McKinsey huko Sofia Bulgaria.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad