Mwanamuziki Harmonize Kwenye Penzi Jipya na Feza Kessy




Moja kati ya vitu ambavyo vimeteka attention ya wengi asubuhi ya leo ni pamoja na hii post ya picha tata za Konde Boy @harmonize_tz akiwa na mrembo @fezakessy akiambatanisha na caption tata ya ‘No mara waaaaaa’


Jambo ambalo limewapeleka wengi kwenye mawazo ya couple kutokana na status ya mahusiano ambayo yuko nayo Harmonize kwa sasa baada ya kutangaza rasmi wiki chache zilizopita kwamba hayuko penzini.


Ukiachana na urembo wa @fezakessy ambao unaweza kumsogeza Harmonize karibu yake, pia Feza Kessy ni Msanii, kitu ambacho kinaweza kuwakutanisha wawili hawa kwenye kazi, ukizingatia jana Harmonize alitangaza ujio wa Video 2 leo! 🙌🏽


Unatamani kuwaona wawili hawa wakisinama kama couple!? Au iishie kwenye kazi tu!? Drop your comment

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad