Kutoka kwenye post ya Mwijaku ameweza kulalamika juu ya nyimbo ya nitongoze ambayo imetolewa video mwijaku ameweza kulalamika ifungiwe kabisa kwa sababu haina maadili kwenye jamii kabisa bakita nayo iingilie hili swala sio vizuri kwa jamii.
Mwijaku Amchomea Bondi kwa Basata "Video ya Nitongoze Aina Maadili Kabisa
0
January 22, 2023
Tags