Mwimbaji Rema Kutoka Nigeria ni zaidi ya Davido, Wizkid na Burna Boy, Haijawahi Tokea Africa

Mwimbaji Rema Kutoka Nigeria ni zaidi ya Davido, Wizkid na Burna Boy, Haijawahi Tokea Africa

Mwimbaji REMA (@heisrema) ameingia kwenye vitabu vya historia ya Muziki wa Nigeria.

Video yake “Calm Down” imekuwa video ya Muziki wa Afrobeats iliyotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube.

Video hiyo ambayo iliachiwa miezi 11 iliyopita, hadi sasa ina zaidi ya Views Milioni 355.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad